Tuzo za Afrimma sasa kufikia ukingoni Jumamosi ya Tarehe 26 Texas Nchini Marekani
Katika utoaji wa Tuzo izo wasanii kama Davido, diamond Platnumz, 2face, T-pain na wengineo wantarajiwa kutoa burudani ili kusindikiza show nzima ya utoajia wa tuzo izo.

Post a Comment
Add comment