Diamond Platnumz mbongo fleva mwenye umati wa mashabiki Bongoland na Africa kwa ujumla ametoa fursa kwa vijana wanaochapisha T-Shirts kwa kutumia sura yake na amedai kufuraishwa na jambo ilo.
DiamondPlatnumz
Apa Diamond anasema,
"Kuwekwa tu pale mimi kwangu nmefurahi, nisiwe mnafiki. Siwezi kusema eti nmechukia kwanini ametumia sura yangu, yaani nmefurai kwani naona kama taifa lime-appreciate kazi na mtu katengeneza t-shirt na kauza na ikauzika....iyo kwangu ruksa.
Ila apo apo Daimond alitaadharisha juu ya kutumia brand yake "Wasafi" akisema, "labda mtu atumie Wasafi, apo tatizo lingine".
Post a Comment
Add comment