GuidePedia

0
Ni mda kdogo tu toka Allykiba amesikika katika vyombo vya habari akitoa msimamo wake juu ya uhusiano wake na Diamond, Mda huu Diamond ameweka picha Instagram na kuandika caption yenye utata kidogo.... Haijajulikana inamuhusu nani hasaa kwani ameipost bila kumtaja mtu yoyote.
ddd 
Haya ndiyo maneno aliyoandika Diamond,
Tatizo lako wewe unawaza kushindana na mimi ili nishuke.... Wakati mwenzako nawaza kushindana na watu wa mataifa mengine ili nilete sifa na heshima nchini kwetu.
Je ni dongo kwa Kiba.....???

Post a Comment

Add comment

 
Top