Rihanna
Kutokana na maneno ya Rihanna mwenyewe anakiri kuchukizwa na Karrueche ambaye amekuwa akimshutumu kwa kuingilia mapenzi yake na Chris Brown.... Rihanna amemtaka Karrueche aache kumuhusisha katika maswala yao binafsi na hasitumie jina lake ili kujiongezea umaarfu, Marafiki wa karibu wa Rihanna wanaeleza ni jinsi gani Rihanna anavyochukizwa na maneno ya Karrueche.. apa rafiki mmoja wa Rihanna anasema,
“She doesn’t want to be involved in any way with Chris’ woman and would
prefer them to keep their business to themselves and not put her name in
their issues,” our source adds angrily. Rihanna is “not interested in
helping the next bi**h be famous and come up in the game, based on them
throwing her name in the ring.”
SOURCE: HOLLYWOODLIFE
Post a Comment
Add comment