GuidePedia

0
Kama una mipanga yoyote ya kuongeza maumbile yako basi unaweza ukaairisha baada ya kusoma hapa, Mwanamama Apryl Brown kutoka Los Angeles Marekani amepoteza mikono, miguu, makalio na ilikuwa kidogo apoteze pia maisha yake baada ya kufanyiwa sillicone filler ambayo haikufanikiwa na kugeuka kuwa madhara makubwa kwake.... Mwanamke uyo mwenye miaka 47 na mama wa watoto wawili anasema matatizo hayo yalianza mwaka 2005 baada ya kushauriwa kuchoma sindano za kuongeza makalio na marafiki zake walokuwa wakimtembela saluni kwake. Anasema "makalio yangu yalianza kuwa magumu na kupoteza rangi mwaka 2006 na mwaka 2007 yalianza kuuma... Maumivu ayo yalimpelekea kwenda hospitali ambapo baada ya kupimwa iligundulika alikuwa amehathirika vibaya na sillicone filler na ivyo suluhisho lililopo na kuondoa makalio yake, pia mikono na miguu ambapo ingeathiriwa angeweza kupoteza maisha.
Mwana mama Apryl Brown baada ya kufanyiwa operesheni na kuondolewa miguu, mikono na makalio yake ili kusaidia maisha yake.
SOURCE: Hotnaija

Post a Comment

Add comment

 
Top