GuidePedia

0


Msanii kutoka Nigeria Davido amewakera baadhi ya mashabiki wake baada ya kuonesha headphone yake iliyotengenezwa kwa dhahabu, uku wengine wakisema ni bora pesa izo angewasaidia wanaijeria wenzake ambao ni maskini... Lakin wengne wamemtetea wakisema Davido anajituma sana katika kazi zake licha ya kuwa baba yake ana pesa za kutosha ila na yeye ameonyesha juhudi binafsi ivyo hapaswi kupangiwa cha kufanya likija swala la kutumia pesa zake.

Post a Comment

Add comment

 
Top