Ni maneno ya wataalam wa fashion, apa unaambiwa ukitaka mwili wako ufiti katika mavazi ya aina mbali mbali basi gym inaitajika kidogo aswaa kwa wakaka, pia kina dada wana mazoezi yao binafsi ambayo husaidia miili yao kuonekana freeesh....... ukiangalia kwa undani utaona kuwa awa wanamitindo sana sana wa ughaibuni hawazeeki haraka kama hawa wa uku kwetu.
Check mwanadada Amber Rose toka tumeanza kumsikia mpk leo ni yule yule tu. (hazeeki)
Ooops uyu ni Kim wa Kanye gym yahusika japo yeye uyu ni mtata zaidi katika kuufanyia mwili wake operations.
Diamond Platnumz baada ya kupiga gym sasa kila mtu anafurahia anachovaa mwilini kwake kwa jinsi anavyopendeza mbogo uyu.
Nadhan huu ndo wakati wenyewe wa gym..
Post a Comment
Add comment