Soon baada ya kuachia album zake mbili, "Lady with Confidence" na "Kantangaze akutangaze nani wakati ata mtaa wa pili hujulikani" Malikia wa mipasho ameachia mipango aliyonayo katika muziki wake..

Khadja kopa
Moja ya mipango aliyonayo ni pamoja na kufanya kolabo na wasanii wenye majina makubwa bomgo ikiwa ni apmoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Allykiba, Kassim, Chid Beenz baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kuisha.
Post a Comment
Add comment