Nay Wa Mitego yupo nchini Kenya katika hatua za kwisho kukamilisha video yake mpya ambayo imeongozwa na Director wa kenya Kelvin Boscor Jr. Nay amajaribu kujivika ufalme uku akiwatumikisha watumwa wanaocheza mbele yake wakiwa wametapakaa damu.




Sijui hii Idea Nay kaitoa wapi........


SOURCE: BONGO5
Post a Comment
Add comment