GuidePedia

0
Rapper mwenye mbwembwe za aina yake Eminem amevunja Record katika show yake iliyofanyika July 7 katika dimba la Wembley (Uingereza) Eminem alivunja Record ambapo show iyo iliudhuriwa na watu zaidi ya 80,000
Photo:  
Eminem
Katika onyesho lake ilo Eminem Alipewa shavu na Dr. Dre ambaye alipanda stejini kumsapot jamaa yake wa mda mrefu. Pia wasanii nguli kama Jayz walikuwepo that night.
Eminem na Jay Z
 
Dr. Dre & Eminem

Post a Comment

Add comment

 
Top