Elton John akiwa na mchumba wake David
Mwanamuziki shoga maarufu nchini Marekani amesema anaona kila dalili kuwa kama Yesu angekuwa hai angetetea mapenzi ya jinsia moja kwani nayo ni mapenzi kama yalivyo mapenzi mengine... Akiongea na kituo cha habari cha Marekani (Sky News), Elton ambaye antegemea kuolewa mwakani na mpenzi wake David Furnish anasema amefuraishwa sana ukarimu wa Pope Francis na angependa pia kanisa la Uingereza lingefanya ivyo na kuwaunganisha watu pamoja.
Elton akiwa na mchumba wake na mtoto wao.
Post a Comment
Add comment