Jose Chameleon ametua nchini kutoa burudani leo katika ukumbi wa maisha club, pia jumamosi atakuwa mkoani Dodoma ikiwa ni mwendelezo wa tour yake ya Tubonge.
Hizi ni picha za mapokezi ya Jose Chameleon wakati akitua katika uwanja wa Mwl. Nyerere Dar.



Post a Comment
Add comment