Wote ni wasanii kutoka nchini Marekani, Nick Minaj akiwa amebobea kwenye muziki wa miondoko ya Hip Hop na Rihanna Katika RnB..... Leo Enews5 imewaleta kataika fashion ili kuona nani anaweza kuwa gumzo kuliko mwenzake.
Je wewe unaona nani ana rock zaidi ya mwenzie??? acha maoni apo chini.
Post a Comment
Add comment