Msanii kutoka Nigeria Davido amethibitisha ujio wa kolabo yake na marapa wakubwa toka nchini Marekani Rick Rossy na Meek Mill...

Davido amethibitisha ilo wakati akiojiwa na mtandao wa NEW AGE, ambapo davido alifunguka kama ifuatavyo...
"For now I can not reveal much, but Ican definitely tell u that Rick Ross and Meek Mill are on the cards for collaboration"
Pia Davido kipindi yupo Marekani alipost picha akiwa na Meek Mill kuonyesha mipango zaidi ya kolabo iyo.

Post a Comment
Add comment