GuidePedia

0
Model na mtangazaji kutoka Marekani ambaye ni mpenzi wa msanii Chris Brown, Karrueche Tran wakati akiojiwa na kituo cha Televisheni cha BET alifunguka juu ya maisha yake ya kimahusiano na Chris Brown kuwa ni mahusiano yanayompa mawazo na kumsababishia matatizo ambapo kwa sasa yupo katika mvurugano mkubwa na Rihanna.
Karrueche & Chris Brown
Karrueche alifika mbali baada ya kusema kuwa umaarufu wa Rihanna ni mkubwa kuliko Chriss Brown na  watu kwa sasa wanawafuatilia zaidi kwa sababu iyo.... as she says,
The reason why people tuned into this so much was because it’s relatable,” she admitted, explaining that everyone has to deal with their current love’s exes. 

“But, however…in this case my boyfriend is a celebrity who’s ex-girlfriend is an even bigger [celebrity]. Do you know what I’m saying?”
Pia mwanadada uyo alisema kwa sasa anakumbana na changamoto kubwa kutoka kwa Rihanna na mashabiki wa Rihanna katika mtandao wa tweeter... apa anasema,
 
"So, not only am I fighting a battle with her, I’m fighting a battle with her 14 million fans or however else. So, imagine how that feels for me when I gotta get on Twitter and I see a whole bunch of stuff,” 
 Rihanna

SOURCE: HOLLYWOODLIFE
 

Post a Comment

Add comment

 
Top