GuidePedia

0


Diamond Platinumzamekiri kuteuliwa kuwania tunzo za BET kumempa connection kibao na kolabo nyingi ambazo hakuwa hakizitarajia, Aliyasema ayo jana wakati akiojiwa na waandishi wa habari akiwa Airport  kutokea Marekani.
"kwakweli ni nyingi sana ata kipindi nikiwa njiani nilikuwa naongea na meneja lakini sio vizuri kuvisema sasa ivi, naogopa kuvisema sasa ivi kwa sababu uongozi unajua... kwakweli ni vitu vizuri ata vikitangazwa baadae watu watafurahia na kuona kweli tunafanya vitu, cha kwanza kabisa muhimu ukiacha kuuza muziki, kolabo ni kitu ambacho kinasaidia... Unajua kufanya kolabo na watu wa nje kama tulivofanya uku Tanzania na ikafanya vizuri na ikatupenyesha vizuri Africa, tukifanya na mtu wa kule (Marekani) tunaingia kule kiuraisi". Alisema Diamond.

Post a Comment

Add comment

 
Top