GuidePedia

0
Producer na msanii wa Sharobalo Rec amesema anaona kuna uwezekano mkubwa wa kufanya kolabo na msanii aliyemweka mwenywe katika ramani ya muziki DiamondPlatnumz.
Bob Junior mwenyewe anasema kwa kuwa yeye ndo aliyemtoa so akiamua mda wowote wanaweza kufanya kazi. Hapa anasema,
"Kwakuwa nia ipo na sisi bado tupo hai, hatuwezi kujua nini kitatokea.....siwezi sema natamani ni kijana wangu nimemtoa mimi nikiamua siku nafanya nae nitafanya nae, haiwezi kuwa na ugumu".

Post a Comment

Add comment

 
Top