Mwanadada Claire Leeson mkazi wa london Uimgereza amaetumia kiasi cha Euro 20,000 amabcho ni sawa na Dola 30,000 ili kubadili muonekano wake na kufanana na Kim.
Mwanadada uyu amesema kuwa alikuwa akiambiwa kuwa ye mtu mbaya ambaye hakuwai kutokea, na halipomaliza shule wenzake walimwambia kuwa ana muonekano kama wa Kim Kardashian.
Ivyo aliamua kufuatilia kipind kinachoiusu familia ya Kim (Kereping up with the Kardashians) na aliona vitu baadhi ambavyoa alikuwa akifanana na Kim ivy ukafuata uamuzi wa kubadilisha mwili wake ikiwemo kung'arisha meno, kutengeneza matiti, na mtindo wa nywele.

Post a Comment
Add comment