Lionel Messi
Licha ya timu yake ya Taifa (Argentina) kufungwa 1-0 katika mchezo wa fainali na Germany, Lionel Messi ameibuka mchezaji bora wa mashindano ya kombe la dunia 2014 yaliofanyika Brazil... Messi amewashinda T. Muller wa Ujerumani na Arjen Robben wa Uholanzi katika kinyang'anyiro icho baada ya kuchaguliwa na wataalamu wa uchambuzi kutoka FIFA.
Post a Comment
Add comment