Miezi kadhaa iliyopita haikuwa miepesi kwa Jay z 44, na Beyonce 32... Japokuwa wote walikuwa pamoja katika tour yao ya kimuziki lakini mambo si mazuri ndani yao kwa kile kinachodaiwa kuwa Jay alisaliti ndoa.
Jay & Beyonce stejini
Kutokana na vyanzo vyetu inasemekana Jay Z ameshakumbwa na skendo tatu kubwa zinazomuumiza Beyonce kichwa.
Skendo ya Kwanza:
Inasemekana katika tukio moja uko nchini Marekani Jay alikuwa akipata shampeni na marafiki pamoja na wadada kadhaa walioalikwa nyuma ya steji. Beyonce alishangazwa na mwanadada mmoja aliyekwenda katika kifua cha Jay na yeye mwenyewe Jay akaonekana akimnong'oneza kitu sikioni.
Skendo ya pili:
Hii ilitokana na minong'ono ya chini kwa chini kwmaba Jay alikuwa akicheat na Mya, lakini Jay Z alikanusha madaia ayo kwa kutweet, “never did, never was, never will.”
Skendo ya tatu:
Apa ndo mambo yalikuwa machungu kwa Jay baada ya Solange (mdogo wake Beyonce) kumshambulia Jay kwa kile kilichodaiwa kuwa alikuwa amemsaliti dada yake na mbunifu wa mavazi Rachel Roy...Mfululizo wa skendo hizi umemfanya Beyonce kushindwa kuvumulia, Mpaka apa talaka haiepukiki so maamuzi ni ya beynce peke ake.
Jay & Beyonce
SOURCE: HOLLYWOODLIFE
Post a Comment
Add comment