GuidePedia

0
Dede Koswara ni raia wa Indonesia aliyepatwa na ugonjwa mbaya zaidi wa ngozi, kitendo kilichopelekea mke wake kumkimbia na pia kupoteza kibarua chake.
 
Dede anasema ana matumaini ya kupata kazi tena baada ya kuwa anafanyiwa operesheni za mara kwa mara ili kuondoa  sehemu zilizoaribika katika mwili wake.
  
Ugonjwa wake huo unasababishwa na mambukizi ya virusi aina ya Human Papilloma Virus (HPV).
 growthmanr

Post a Comment

Add comment

 
Top