Baada ya miaka minne ya kuzaliwa bado mtoto wa Christiano Ronaldo hamfahamu mama yake.

Awali mtoto uyo alipokuwa akiuliza kuhusu mama yake, alikuwa akijibiwa kuwa mama yake kasafiri...... Lakini ivi sasa mtoto wa Ronaldo amezoea hali iyo na kwamba haulizi tena kuhusu mama yake.
Post a Comment
Add comment