GuidePedia

0
Msanii wa Hip Hop nchini anayetesa na kibao chake cha Mr. Nay ametangaza rasmi kuwa hatapokea tena show zenye malipo yaliyo chini ya milioni tano... hii imekuja shortly baada ya kutangaza kuwa na nyumba tatu ambazo amezipata kupitia muziki, sasa ameamua kuongeza dau lake la show na ameshikilia msisitizo kuwa chini ya hapo hafanyi show.. BUT hii ni rasmi kwa show za nje tu.
Na kwa show za ndani ya dar ney amesema maximum ada yake itakuwa milioni 4.

Post a Comment

Add comment

 
Top