GuidePedia

0
Ray C msanii nguli wa zouk Bongoland amekiri kuwa ni kweli alivamiwa na kupigwa na Chid Beenz siku ya alhamis tarehe 10 July.
Ray C ambaye ni mwanzilishi pia wa Ray C foundation, alisema....
"kweli alinivamia usiku alhamis na kunipiga mimi na kuharibu baadhi ya vitu, mimi nashangaa usiku navamiwa na sijui ni nani amemuonyesha nyumbani kwangu.... nilikuwa namtafuta kwa sababu ya show ya kuelimisha vijana na masuala ya madawa ya kulevya, yeye akalichukulia vingine kabisaa... nahisi atakuwa amechanganyikiwa na madawa ya kulevya".

SOURCE: BONGO5


Post a Comment

Add comment

 
Top