Nyota wa pop Nchini Marekani amehabarisha umma wa mashabiki wake wake tayari kwa movie yake iitwayo Believe ambayo atiachia December 25 ikiwa ni siku ya christmas.
Movie iyo itaonyeshwa katika theaters siku ya Christmas... Hatujajua sawasawa movie iyo itausu nini but ni movie itakayoonyesha maisha yake ya kisanii na changamoto mbalimbali anazokutana nazo.
Post a Comment
Add comment