GuidePedia

0
 Fainali ya Kombe la Dunia ndo lilikuwa tukio lililoongelewa zaidi katika mtandao wa Facebook, hii ni kutokana na maofisa wa Faceebook ambao wamekiri Fainali iyo ilikuwa na kadirio la post, comments na likes mlioni 280 kutoka kwa watumiaji milioni 88 waliokuwa wakiongelea mchezo huo. Record iyo imeipita ile ya Super Bowl y mwaka 2013 kwa zaidi ya milioni 35. Kombe la Dunia kwa ujumla limesabisha majibishano bilioni 3 katika mtandao wa Facebook.
World Cup winner: Mario Goetze scores the only goal of the final.
Mario Gotze akifunga bao la ushindi
Kwa upande wa tweeter, kulikuwa na rekodi ya tweets 618,725 kwa dakika katika mchezo wa fainali kati ya Ujerumani na Argentina.. Achilia mbali ile idadi ya tweets 580,166 katika mchezo wa nusu fainali kati ya Brazil na Ujerumani ambapo Ujerumani ilishinda kwa mabao 7-1. Kampuni ya tweeter yenyewe inasema kulipatikana tweets 35.6 katika michezo iyo.
Germany's players hold up the World Cup trophy.
Ujerumani wakishangilia ushindi

Post a Comment

Add comment

 
Top