Rapper Jay Z na mkewe Beyonce waliwaacha vinywa wazi mashabiki waliokuwa wameudhuria show uko New Jersey Marekani baada ya kuperfom kwa pamoja stejini uku wakionesha sura za furaha licha ya kuwa watu walikuwa wakifikiri kuwa ndoa yao ipo matatani kwa sasa kwa madai kuwa Solange (mdogo wake Beyonce) alimshambulia Jay kwa kuwa alimsaliti dada yake. Kama na wewe ni mmoja wa waliokuwa wanafikiri kuwa Jay na Beyonce wapo matatani basi wanandoa hawa wamewaprove wrong.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Add comment