GuidePedia

0
This is not the show to miss out, Sporah show ambacho hurushwa hewani na Clouds TV.... Time hii Allykiba atakuwa mgeni katika show hiyo, Kupitia XXL ya Clouds FM Allykiba amemuongelea Diamond ambaye inasemekana wana beef.
 
Allykiba & Sporah
 Katika promo ya kipindi icho, Ally aliulizwa kama Diamond ndo kachukua nafasi yake baada ya yeye kukaa kimya mda mrefu.....
Allykiba amekanusha na kusema Diamond hajachukua nafasi yake na kutolea mfano wa nafasi yake ni kama kiti kilichopata vumbi kwa kutokaliwa kwa mda mrefu, ivyo mda wowote akiamua anaweza kukifuta na kukikalia tena, Pia aliongeza kuwa Diamond amekaa kiti tofauti na pia amekaa Back seat.....
Pia Kiba alipoulizwa yuko vipi na Diamond kwa sasa, alijibu,
 "Mimi niko okay sana sema sifikirii kuongea nae tu basi, lakini nko very okay yaaan. Yaani sijawai kufikiria, si unajua kuwa okay na mtu ni kuzungumza na kuwa karibu unajua ivyo vitu, Mi nko Okay na Sina chuki na sana sana nampongeza na sina chuki, simaind yaan niko veeery okay."

SOURCE: BONGO5

Post a Comment

Add comment

 
Top