Mchezaji wa Atletico Madrid, mzaliwa wa Brazil raia wa Ispania ameamia Rasmi Chelsea.
Diego Costa
Aliyekuwa mchwezaji wa Atletico Madrid (Diego Costa) amesajiliwa rasmi na klabu ya Chelsea kwa Kitita cha pauni milioni 32 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 90.
Je nafasi ya Torres inazidi uwa finyu Chelsea... comment chini
Post a Comment
Add comment