GuidePedia

0
Mwanamitindo na mtangazaji wa televisheni nchini Marekani "Karrueche" ameonyesha mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake wake Chris Brown baada ya kumtumia Rihanna meseji mara mbili kumtaka aongee nae juu ya jinsi ya kumbadilisha Chris Brown kuwa mtu mwema. 

 Chris na Karrueche
Meseji ya kwanza ya Karrueche;
"Hey Rihanna, this is Karrueche, I know you probably hate me or dislike me. I don't hate you since we are both connected to Chris , I would love to talk to you about him and how I can help him be a better man".
Meseji ya pili ya Karrueche kwa Rihanna; 
"No disrespect, I have been wanting to talk to you for a while but did not have the courage. Now I do".
Ata ivyo Rihanna hajajibu meseji ata moja ya Karrueche mpaka sasa.

Rihanna

SOURCE: Hollywoodlife

Post a Comment

Add comment

 
Top