Habari za kusikitisha kuhusiana na kifo cha mtoto wa mwanamuziki wa kik toka nchini Uganda (Juliana Kanyomozi) kuondokewa na mtoto wake wa kiume (Keroni,) mwenye miaka 11.....

Juliana na mwanae Keroni
Chanzo cha kifo cha mtoto uyu ni ugonjwa wa Asthma, na kabla ya kukumbwa na mauti hayo mtoto uyo alikuwa amelazwa hospitali ya Aga Khan Nairobi.

Ni maumivu makubwa kwa msanii uyu kuondokewa na mwanae wa pekee.
Post a Comment
Add comment