Hii ni list ya wasanii saba maarufu sana nchini na duniani kwa ujumla ambao wamebadilisha majina yao kwa sababu mbalimbali zingine zikiowa sio za muhimu sana.
Bruno Mars
BrunoMars mzaliwa wa Puerto Rico, Jina alilopewa na wazazi wake ni PETER HERNANDEZ..kutokana na chanzo chetu inasemekana Bruno aliamua kubadilisha jina lake kwa sababu hisingekuwa rahisi kwa yeye kupata promo zaidi Marekani kwa sababu anatokea katika nchi ya kawaida sana (Puerto Rico).
Miley Cyrus
Beautiful but haishi vituko, alipewa jina na wazazi wake DESTINY HOPE CYRUS wakiwa na imani kwamba one day mwanao atakamilisha ndoto zake alizokuwa nazo toka mdogo, pia Miley alikuwa ni mtu wa mategemeo kama jina lake "HOPE".
Lady Gaga
Jina la mwanadada uyu ni STEFANI JOANNE ANGELINA, na alibadilisha jina ilo kwa sababu hakuvutiwa na jina STEFANI ambalo linasound kiume.
Rihanna
Kutana na Rihanna ambaye alibadilisha jina lake ili lionekane sexy and cool girl.. Jina lake la asili ROBYN FENTY.. Lakini kweli Rihanna ni sexy and cool...??
Katty Perry
Staa wa Wide Awake Katty Perry naye anatokea katika list hii kwani naye alibadilisha jina lake la asili ambalo ni KATHRYN HUDSON ili kuleta mvuto zaidi kwa mashabiki.... Do you think amewin kwa ilo..???
Drake
Jina lake ni AUBREY DRAKE GRAHAM, yeye aliamua kuchukua jina lake la katikati ili kufupisha na kufanya jina lake kukamatika haraka na mashabiki.
Nicki Minaj
Staa uyu mwenye asili ya Trinidad & Tobago anakamilisha list kwa mastaa waliobalisha majina yao, Yeye uyu jina la kupewa na wazazi ni ONIKA TANYA MARAJ and so akaamua kubadili jina ilo sababu lilikuwa halisound good.
Post a Comment
Add comment