Mama mzazi wa Ronaldo Dolores Aveiro
Mama uyo alikiri kutaka kutoa ujauzito wa Ronaldo katika kitabu cha maisha yake kilichozinduliwa ijumaa hii ukop nchini Ureno.
Mama uyo amedai kuwa madaktari walikataa kutoa mimba yake, ivyo akiwa katika harakati za kuitoa alianza kunywa pombe kali na kufanya mazoezi magumu lakini mimba haikutoka.

Post a Comment
Add comment