GuidePedia

0
Mchezaji nyota wa kikosi cha Real Madrid Christiano Ronaldo anadai yeye hajachora tatoo katika mwili wake kama ilivyo kwa wachezaji wengne maarufu wa mpira wa miguu.....
Sababu kubwa ya mchezaji uyo kutojichora tatoo katika mwili wake ni kuwa yeye hupenda zaidi kuchangia damu kwa ajili ya kuwasaidia watoto na watu wasiojiweza.
 
Ronaldo alishare picha hiyo na kuwaamasisha pia watu wengine kupenda kuchangia damu kwa kuwa haigharimu kitu na unajisikia vizuri kwa kuwa unajua unamsiadia mwingine.

Post a Comment

Add comment

 
Top